Share

Dkt Bilal amewataka wananchi kuacha kuharibu miundombinu ya mkongo wa taifa.

Share This:

Makamu wa rais Dk Mohamed Gharib Bilal amewataka wananchi kuacha tabia ya kuharibu miundombinu ya mkongo wa taifa kwani serikali imetumia gharama kubwa kuujenga kwa lengo la kuleta mawasiliano bora na kwa gharama nafuu pamoja na kurahisisha utendaji kazi katika sekta mbalimbali ikiwemo serikalini.

Leave a Comment