Share

Dkt Mengi aungana na ndugu na marafiki pamoja na jeshi la polisi katika mazishi Sajenti John Challo.

Share This:

Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dkt Reginald Mengi ameungana na ndugu, jamaa na marafiki pamoja na jeshi la polisi katika maazishi ya marehemu sajenti John Challo yaliyofanyika katika makaburi ya Chang’ombe maduka matatu na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam.

Leave a Comment