Share

Dogo Janja afunguka kuhusu ndoa ya Irene Uwoya ‘ukipoteza ndoa ya kwanza yana pili, chunga’

Share This:

Msanii wa muziki wa hip hop, Dogo Janja amefunguka kwa kumpatia tahadhari mtalaka wake Irene Uwoya ambaye anakwenda kuolewa siku za hivi karibuni kutokana na taarifa za watu wake wa karibu.

Leave a Comment