Share

Dokii afunguka kuhusu kurudi na kugeukia vichekesho

Share This:

Mwimbaji na msanii mkongwe wa maigizo Tanzania Dokii ameamua kurudi kwenye uigizaji kwa namna ya pekee baada ya kugeukia vichekesho na amekaa kwenye interview na Ayo TV na millardayo.com na kueleza kuwa ameungana na Timamu huku akipewa ushirikiano na mchekeshaji Mpoki….

Leave a Comment