Share

Donald Trump: Kwanini uhamiaji umekuwa donda sugu Marekani ?

Share This:

Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya wanasiasa wanne wanawake kutoka chama cha Democratic imeendelea kuzua gumzo kali ndani na nje ya nchi hiyo.
Lakini wanasiasa hao na Trump mwenyewe wanatoka wapi?
Hii ni simulizi ya kushangaza ya wahamiaji wa jadi Marekani.

Leave a Comment