Share

DPP afuta kesi 323 wakiwemo askari polisi wanane wa kesi ya uhujumu uchumi Mwanza.

Share This:

Mkurugenzi wa Mashtaka DPP, Biswalo Mganga amewafutia kesi washtakiwa wanane ambao ni askari wa jeshi la polisi mkoani Mwanza waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba moja ya mwaka 2019 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mwanza.

Leave a Comment