Share

Dr Tulia alivyomaliza mgogoro uliodumu kwa miaka mitatu Mbeya

Share This:

March 10, 2018 Naibu Spika Dr Tulia Ackson alisafiri hadi katika kata Lufilyo Wilaya ya Busokelo mkoani Mbeya ambapo kulikuwa na mgogoro wa ujenzi wa zahanati na vituo vya afya uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kupatiwa ufumbuzi.

Leave a Comment