Share

Dudubaya amjibu Balozi Mongella aliyedai wanaume hawajui kutongoza

Share This:

Dudubaya amemjibu Balozi Getrude Mongella ambaye alidai sababu ya kuongezeka kwa vitendo vya ubakaji kwa watotoni kutokana na baadhi ya wanaume kutokujua kutongoza vizuri.

Leave a Comment