Share

Dulluvani aoga mtusi kutoka kwa Wolper kisa kibeniteni

Share This:

Mchekeshaji wa kwenye mitandao wa kijamii hasa hasa Instagram, Dulluvani amefunguka kueleza namna alivyotukanwa na muigizaji Jack Wolper baada ya kuigiza kwamba anatoka na kibeniteni.

Leave a Comment