Share

Eneo hatari kwa wizi wa Simu ukiwa ndani ya gari Arusha

Share This:

Leo June 14, 2018 umefanyika usafi katika eno la Tengeru Arusha uliongozwa na Chuo cha Maendeleo ya Jamii ambapo eneo hilo limeelezwa kuwa na wezi wengi na wamekuwa wakikaa maeneo ya stand ya Tengeru nakuibia watu jambo ambalo linasababisha kuwepo kwa ulinzi ili kuzuia jambo hilo.

Leave a Comment