Share

Engebder Health Yajenga Vituo 26 Kigoma

Share This:

Shirika lisilo la kiserikali la Engender Health limejenga vituo 26 vya huduma ya afya ya baba mama na mtoto katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Kigoma ikiwa ni kuunga mkono jitihada za serikali za kuboresha huduma za afya.

Leave a Comment