Share

eorge. Foreman afikisha miaka 70

Share This:

Bingwa wa zamani wa ndondi katika uzani wa Heavy Weight George Foreman anasherehekea miaka 70 tangu alipozaliwa. Foreman anayefahamika sana hasa aliposhindwa na Mohammed Ali kwenye pambano lililopewa jina The Rumble in the Jungle anatizamwa na wengi kuwa ndiye bingwa wa zamani sana ambaye yuko hai. Mengi zaidi ni kwenye vidio #Kurunzi

Leave a Comment