Share

EXCLUSIVE: Monalisa afunguka kuwa Mwalimu, awashangaa wanaopenda ‘Kiki’

Share This:

Msanii wa filamu nchini, Yvone Cherrie ‘Monalisa’ amesema yupo katika project mpya ya kuwafundisha wasichana ili kuja kuwa wasanii wazuri, kizazi kinachojielewa zaidi, ambapo amesema yupo busy na darasa.

Leave a Comment