Share

EXCLUSIVE: Mtoto wa Remmy Ongala afunguka kumuenzi Baba yake ufukweni

Share This:

Leo August 24,2018 tunayo EXCLUSIVE story kutokea kwa mtoto wa marehemu Remmy Ongala, Aziza Ongala ambaye amezungumzia sababu za kumuenzi Baba yake Mzee Ongala kwa kufanya tamasha la Ongala katika fukwe za Kigamboni Dar es Salaam ikiwa ni miaka 8 imepita tangu alipofariki.

Leave a Comment