Share

Exclusive: Nape afunguka tukio la Lissu ‘hakuna watu wasiojulikana’ (Part 1)

Share This:

Aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amefunguka kuzungumzia hali ya siasa nchini pamoja na matukio yanayoendelea. Akiongea na Bongo5 Mkoani Dodoma, Mbunge huyo wa Mtama, amezungumzia tukio la Tundu Lissu kipigwa risasi, hali ya demoksaria nchini pamoja na mambo mengine mengi.

Leave a Comment