Share

EXCLUSIVE: Rais Magufuli, Mkapa, Nyerere walivyoigizwa sauti zao

Share This:

tunayo story kutokea kwa Msanii Yusuph Myamba maarufu kama Yusuph Mkapa ambaye ni msanii wa kwanza kuigiza sauti ya Rais mstaafu wa awamu ya 3, Benjamin William Mkapa.

Mbali ya kuigiza sauti ya Mkapa, pia ana uwezo wa kuigiza sauti nyingine za viongozi mbalimbali akiwemo Rais John Magufuli, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Leave a Comment