Share

Exclusive: WCB wakubaliana na Alikiba “Diamond amefurahi sana”

Share This:

Alhamisi hii Bongo5 imefanya exclusive na mmoja kati ya wakurugenzi wa WCB, Mkubwa Fella na kuzungumzia makubaliano ya kimkataba kati ya Alikiba na Wasafi Festival. Fella amesema mpaka sasa mpango wa muimbaji huyo wa RockStar kutaka kulidhamini tamasha hilo umeenda vizuri na tayari ameshafikia baadhi ya makubaliano.

Leave a Comment