Share

Faiza Ally amvaa Snura Majanga, ampa onyo kali!

Share This:

Muigizaji wa filamu Faiza Ally amemtaka Snura Mushi tutoingilia maisha yake. Mrembo amesema hayo baada ya hivi karibuni kupokea kichambo kutoka kwa mashabiki wake pamoja na wadau wa filamu akiwemo Snura baada ya muigizaji huyo kupost picha mtandaoni inayomuonyesha akiwa ametoka kujifungua.

Leave a Comment