Share

Faiza na Picha za Uchi Akijifungua: Safari ijayo nitajifungua ‘LIVE!

Share This:

Msanii wa filamu Faiza Ally amedai anashangaa kuona watanzania wanapoteza muda kuizungumzia picha ambayo aliipost weekend hii wakati akijifungua mtoto wake wa kiume ambaye kwa sasa ana miezi. Mrembo huyo amedai yeye haoni vibaya kusema kwa kuwa ni kitu ambacho alikifanya kwa kuwa anakipenda huku akidai safari ijayo atajifungua live.

Leave a Comment