Share

Familia yatoa ratiba ya mazishi ya mke wa Kibonde!

Share This:

Dada wa Ephraim Kibonde, ambaye ndiye msemaji wa msiba wa mke wa Kibonde, Sara Kibonde amefunguka kueleza chanzo cha kifo cha wifi yake pamoja na ratiba za mazishi.

Leave a Comment