Share

Fella: Kuna watu walimtaka Diamond atufukuze mimi, Sallam na Tale

Share This:

Mmoja kati ya wakurugenzi wa WCB, Mkubwa Fella amedai Diamond alifuatwa na watu nne ambao alitaka raisi huyo wa WCB, awafukuze mameneja watatu wa label hiyo, Mkubwa Fella, Sallam pamoja na Babu Tale.

Leave a Comment