Share

Ferooz aibukia kwenye ndondi/ Cheka na Maganga kuzipiga

Share This:

Msanii wa muziki, Ferooz ameahidi kutoa burudani kwenye pambano la ngumi kati ya Bondia, Francis Cheka dhidi ya Jacob Maganga litakalo pigwa tarehe 16 ya mwezi huu kwenye uwanja wa Kines.

Leave a Comment