Share

First eleven ya Wallace Karia mgombea Urais TFF

Share This:

Bado siku moja uchaguzi mkuu wa wajumbe wa kamati ya utendaji, Urais na makamu wake ufanyike mjini Dodoma katika ukumbu wa St Gasper ambako wajumbe na wagombea tayari wameanza kuwasili mjini Dodoma kufanya kampeni za mwisho leo kabla ya kufungwa na kuomba kura kwa wagombea.

Leave a Comment