Share

Fred Wayne wa Makomando aitabiria makubwa England dhidi ya Croatia

Share This:

Msanii wa mziki wa kizazi kipya Fred Wayne aliyekuwa akiunda kundi la Makomando amefunguka na kusema kuwa yeye ni shabiki mkubwa sana wa timu ya England na anaamini watafanikiwa kutinga hatua ya fainali katika mchezo wao wa leo wa nusu fainali dhidi ya Croatia kwa upande mwingine mwandaaji wa mziki Maneke yeye kwa upande wake amesema Croatia ndo watafanikiwa kushinda katika mchezo wa leo.wewe unamaoni gani kuhusiana na mchezo wa leo.

Leave a Comment