Share

FULL VIDEO: Maswali Matatu aliyoulizwa Waziri Mkuu kabla ya kuondoka Mwanza.

Share This:

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi mkoa wa Mwanza, Feb 21 amekutana na wadau wa zao la Pamba, Mawaziri, Wakuu wa mikoa ya kanda ziwa, Wabunge, Wakurungezi pamoja na Taasisi za fedha kujadili maboresho ya soko na kilimo kwa ujumla, Waziri Mkuu pia amefuta ushuru wa zao la Pamba.

Leave a Comment