Share

FULL VIDEO: Shilole na mpenzi wake walivyojiachia kwenye Birthday Party

Share This:

Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, unaambiwa msanii kutoka Bongoflevani, Shilole alifanya Birthday Party yake usiku wa Dec 20 2016 wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva iliyofanyika club ya Next Door VIP Lounge.

Leave a Comment