Share

FULL VIDEO: Tabasamu la Miss Tanzania akikwea Pipa kuelekea China

Share This:

Leo November 9, 2018 tunayo video iliyomnasa Miss Tanzania, QueenElizabeth Makune akielekea nchini China kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Miss World.

Katika mazungumzo yake ya awali na Ayo Tv, amesema ana hakika atashinda taji hilo la Miss World hasa kwa kutegemea dua za Watanzania na sapoti yao.

Leave a Comment