Share

FULLVIDEO: Kauli ya Jeshi la polisi kuhusu mauaji ya askari polisi nane

Share This:

Jana April 13 2017 jioni maeneo ya Mkengeni Kibiti mkoani Pwani, iliripotiwa kuwa majambazi ambao idadi yao bado haijafahamika wakiwa na silaha walishambulia kwa risasi gari la polisi na kuwaua askari nane na kumjeruhi mmoja.Leo Jeshi la polisi makao makuu wamezungumza kuhsu mauaji hayo

Leave a Comment