Share

Fursa zijazo zipo katika mitaa ya Afrika

Share This:

Hussein Guleid alikuwa na kila kitu ambacho Wasomali wengi wanatamani- Pasipoti ya Marekani na taaluma yenye maslahi katika sekta ya afya. Lakini safari aliyoifanya katika ardhi ya wazazi wake 2016 ilibadili kila kitu. Aligundua katika nchi hiyo ya amani ya Somaliland zipo fursa. Akaanzisha biashara na sasa hakuna kurudi nyuma.

Leave a Comment