Share

Gambosi: Makao makuu ya wachawi

Share This:

Kijiji cha Gambosi ni mojawapo wa vijiji vilivyo na sifa ya uchawi nchini Tanzania. Katika makala hii ya vidio ya sadiki ukipenda, mwandishi wetu Veronica Natalis ametembelea kijiji hicho kubaini ukweli wa madai hayo. Kurunzi 15.6.2019.

Leave a Comment