Share

Gari la kwanza kubebea maiti lilivyopokelewa Dodoma

Share This:

December 6, 2018 Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu anayesimamia Kazi, Ajira na Vijana ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini Anthony Mavunde ametimiza ahadi yake ya kukabidhi gari maalum la kubebea maiti katika jimbo lake ambapo litakuwa likitumiwa na wafiwa bila malipo yoyote.

Leave a Comment