Share

Gesi Asilia Kutumika Majumbani Viwandani

Share This:

Shirika la maendeleo ya Petrol TPDC imesema kuanzia mwezi Julai mwaka huu itaanza kusamabaza gesi asilia kwenye majumba, viwanda na sehemu nyingine

Leave a Comment