Share

GHAFLA JAFO AAGIZA MREMBO AONGEZEWE MSHAHARA “HAIWEZEKANI ANAENDESHA MTAMBO/MDUDE MLIPE VIZURI”

Share This:

Waziri wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Seleman Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa jiji la Dodoma Godwin Kunambi kumuongezea mshahara Esther Nyange ambaye ni dereva wa gari la kupakulia taka katika dampo la Manispaa ya Jiji la Dodoma ambaye analipwa mshahara laki mbili na arobaini (240,000/-) kwa mwezi.

Leave a Comment