Share

Gigy Money afunguka kuhusu kauli ya Albeto Msando

Share This:

Msanii wa muziki na Video vixen, Gigy Money amefunguka kwa kudai kuwa kauli ya Alberto Msando kuwa kuna watanzania wamejifunza jambo kuhusu sakata lake na mrembo huyo. Mapema mwaka huu video chafu ilisambaa mtandaoni ikimuonyesha mrembo huyo akishikana shikana na mwanasheria huyo

Leave a Comment