Share

Gigy Money akuta moto BASATA, atupwa kwa Waziri

Share This:

Msanii wa muziki Gigy Money amefika ofisi za Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwaajili ya kusikiliza tuhuma zake ambazo zilieleza na Naibu Waziri wa Habari, Juliana Shonza ambaye hivi karibuni alitamka mbele ya waandishi kumtaka mrembo huyo kuripoti ofisi kwake kutokana na kosa la picha za uchi. Hata hivyo baada ya kufika BASATA na kukutana na Katibu Mkuu Godfrey Mngereza aliambia haijaitwa na BASATA wala hajafungiwa ila ameitwa na Naibu waziri hivyo anatakiwa kumtafuta waziri ili kujua nini alichokifanya.

Leave a Comment