Share

Guinea: Mwanablogu anayepigania uhuru wa kujieleza

Share This:

Sally Bilaly Sow anahimiza uwazi kuhusu matumizi ya fedha za umma, anapigania haki ya kujieleza na uhuru wa habari nchini Guinea. Anatimiza haya kwa njia ya blogu. Fahamu mengi kuhusu shughuli zake kwenye makala #VijanaMubashara #77Asilimia

Leave a Comment