Share

Guterres: Juhudi za kukabili athari za mabadiliko ya tabia nchi hazitoshi

Share This:

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa juhudi za sasa za kukabili athari za mabadiliko ya tabia nchi bado hazitoshi. Amesema hayo katika mkutano wa COP25 mjini Madrid

Leave a Comment