Share

Hadi kufikia 2030 Afrika itakuwa na 42% ya vijana…vipi kuhusu Tanzania?

Share This:

Muungano wa Asasi zinazojihusisha na masuala mbalimbali yanayowahusu Vijana Tanzania, Tanzania Youth Vision Association ‘TYVA’ umeeleza kuwa hadi kufikia 2030 idadi ya vijana duniani itafikia 18% huku Bara la Afrika pekee likiwa na ongezeko la 42% la vijana ifikapo mwaka huo.

Leave a Comment