Share

Haijawahi kutokea DSM Wamepitishwa Manaibu Meya wawili

Share This:

Leo kumekuwa na Uchaguzi wa kuchagua Naibu Meya wa Jiji la Dar es salaam ambapo Uchaguzi huo umeshindwa kumpata mshindi baada ya kura za wanachama kulingana, Hivyo hakukuweza kupitana mshindi moja na Hivyo Maamuzi yametolewa wote wataongoza kwa miezi mitatu

Leave a Comment