Share

“Haiwezekani na linaumiza sana, tutawashugulikia jumla jumla”-Dr Kijaji

Share This:

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji amesema kuwa zimekuwepo baadhi ya Taasisi za Bank hapa nchini ambazo zimekuwa zikiendesha shughuli zake kinyume na sheria na taratibu zilizowekwa na Serikali ikiwemo kuwa na mikopo chechefu, Dr. Kijaji ameahidi kuwashugulikia jumla jumla wale wote wanaokiuka taratibu hizo.

Leave a Comment