Share

“Hakuna kokote nilipombeza Manji……”-Haji Manara

Share This:

Moja kati ya post katika mtandao wa kijamii zilizotrend leo September 13 2017 ni post ya mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara, wote tuna fahamu kuwa Simba na Yanga ni watani wa jadi hivyo huwa ni kawaida sana kwa Haji Manara kukutana anawatania Yanga katika social network.

Leave a Comment