Share

“HAKUNA MWALIMU ATAKAYEBAMBIKIWA KESI KISA HAIUNGI MKONO CCM” – RAS IRINGA

Share This:

Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Happyness Seneda amesema wanachunguza kujua kama ni kweli Afisa Elimu wa Mkoa huo alitoa matamashi yaliyolenga kuwapa vitisho Walimu wasioiunga mkono CCM na ikithibitika watamchukulia hatua kali za kisheria huku akitoa angalizo kuwa jina la Afisa Elimu wa Iringa wa sasa halishabihiani na lililopo kwenye taarifa inayosambaa mitandaoni.

Leave a Comment