Share

”Hakuna PAKA  ninaemuogopa kwenye COMEDY” – DA ZUU wa kitimtim comedy

Share This:

Msanii wa vichekesho, Da Zuu ambaye ametamba sana na igizo la Kitimtim amesema licha ya kuwepo na waigizaji wengi nchini lakini hakuna anayemtisha kwakuwa wengi wanaigiza vipande vya dakika moja na kuposti kwenye Instagram. Da Zuu amesema hiyo ndiyo tofauti kubwa kwakuwa yeye hutumia nusu saa nzima kuwakikisha watu wanafurahi.

Leave a Comment