Share

HALIMA MDEE ALIVYOACHIWA KWA DHAMANA, KISA CHA KUKAMATWA HIKI HAPA

Share This:

Mbunge wa jimbo la Kawe kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo{CHADEMA},Halima Mdee ameachiwa kwa dhamana ambapo alikuwa anashikiliwa na jeshi la polisi mjini Bukoba toka jana baada ya kutolewa kwenye kikao cha ndani cha BAWACHA .

Leave a Comment