Share

HANS PAUL AKWEPA JELA ALIPA MILIONI 30

Share This:

Mfanyabiashara maarufu Mkoani hapa Kamaljit Hans Paul na wenzake watatu jana wamehukumiwa kwenda jela miaka miwili ama kulipa faini ya Milioni 30 baada ya kukutwa na hatia ya kuajiri na kufanya kazi nchini bila vibali.

Leave a Comment