Share

Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri – Mkaliwenu

Share This:

Mkaliwenu amesema kuwa Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri. Mchekeshaji huyo ameongeza kuwa ndio maana kwa sasa rapper huyo yupo kimya kwa kuwa hakuna kiki anazofanya.

Leave a Comment