Share

Harusi za Kinyarwanda na changamoto zake

Share This:

Katika miaka ya hivi karibuni ndoa za Kinyarwanda zinakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo suala la kufanya sherehe siku ya harusi pamoja na mali wanazomiliki maharusi. Mwandishi wetu wa Kigali, Dex Rugenera ametuandalia vidio fupi kutoka Rwanda.

Leave a Comment