Share

Hashim Thabit Afunguka ya moyoni-sikulewa sifa wala sijashuka kiwango

Share This:

Mchezaji wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Japan Hashim Thabit amefunguka ya moyoni kuhusiana na wale wanaodai kwamba eti ameshuka kiwango ndo mana kakimbilia Japan,Hashim amesema kwamba sio kwamba kiwango chake kilishuka bali mawakala wake ndio waliomtafutia timu ya Japan na muda wowote kuanzia hivi sasa anaweza akarudi tena Marekani.

Leave a Comment