Share

Hashim Thabit:amtetea Lebron James.Mimi ni Rafiki wa Kevin Durant

Share This:

Hashim Thabit amtetea Lebron James kuwa alishindwa kuisaidia Cleveland Cavaliers kwa sababu hakuwa na msaidizi vile vile ameongelea juu ya Warriors kuibuka mabingwa na kusema wana Chemstry nzuri ya wachezaji kwani wamefanikiwa kucheza timu moja kwa muda mrefu.

Leave a Comment