Share

‘Hata wakiandamana ndani ya nyumba, mtu akaumia, aliyeitisha atawajibika’-Waziri Mwigulu

Share This:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amesema tayari amemuagiza na kumuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro kuwakamata watu wote ambao wamepanga njama za kutaka kuwauwa watanzania katika maandamano ambayo wameyapanga kuyafanya

Leave a Comment